Mhasibu Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha (ajaye) wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Hilda Bujiku tuzo ya mshindi wa kwanza kwa uandaaji bora wa taarifa za Fedha kwa Mwaka 2020 (Best Presented Financial Statement for the Year 2020 Awards) kwa Taasisi, Makampuni pamoja na Mashirika zinazotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA). Kushoto kwa Hilda ni mkuu wa mipango na uwekezaji Albert Maneno