RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Msikiti wa Ijumaa katika Kijiji cha Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha cha Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,(hawwapo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kushoto) pamoja na Viongozi na Mashekhe leo walifika katika Kaburi la Marehemu Ramadhan Abdalla Shaaban kumuombea dua Dua, aliyewahi kushika nyazifa mbali mbali za Uongozi katika Serikali ya Mapinduzi na Chama cha Mapinduzi alizikwa Kijijini Kwao Uzini Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja .[Picha na Ikulu