Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Christina Murimi (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kongamano la Data Tamasha 2021 litakaloanza jumatatu ijayo, chuo kikuu cha Dar es Salaam, Kampasi ya Kijitonyama (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano – CoICT), Lengo la tamasha hilo ni kujadili umuhimu wa data kwenye uchumi wa kidijitali kupitia mada za sekta mbalimbali zitakazowasilishwa kwenye tamasha hilo. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Data Lab (dLab), Stephen Chacha (katikati) na Mwakilishi wa Mwananchi Communications Ltd, Mihayo Wilmore
Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Mathew Mndeme
(kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kongamano la Data Tamasha 2021 litakaloanza jumatatu ijayo, chuo kikuu cha Dar es Salaam, Kampasi ya Kijitonyama (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano – CoICT), Lengo la tamasha hilo ni kujadili umuhimu wa data kwenye uchumi wa kidijitali kupitia mada za sekta mbalimbali zitakazowasilishwa kwenye tamasha hilo. Wengine kwenye picha kulia kwake ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Christina Murimi, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Data Lab (dLab), Stephen Chacha na Mwakilishi wa Mwananchi Communications Ltd, Mihayo Wilmore