Mratibu wa taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia mazingira (UNEP) Clara Makenya (kushoto) akipokea mti wa matunda kutoka kwa Mkurugenzi wa taasisi ya Doris Mollel Foundation, Doris Mollel (kulia) mara baada kumalizika kwa semina iliyojadili namna ambavyo athari za mabadiliko ya tabianchi huchangia ongezeko la kuzaliwa kwa Watoto njiti, huku pia ikisababisha vifo vya akina mama wajawazito, kulia ni Meneja wa tasisi ya Vodacom Tanzania Foundation Sandra Oswald ambao ni wadau katika kusaidia juhudi za kuhifadhi mazingira na kusaidia juhudi za serikali katika sekta ya afya nchini.