RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar Bi. Khadija Jabir,akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu kwa mazungumzo na kumpongeza, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia taarifa wa Baraza la Wazee wa CCM Afisi Kuu Kisiwandui Zanzibar,ikiwasilishwa na Katibu wa Wazee wa CCM.Bw.Haji Machano, wakati wa mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Afisi Kuu Kisiwandui Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Bi. Khadija Jabir (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mjumbe wa Baraza la Wazee wa CCM Bw.Khatib Ramadhan Iddi, baada ya kumalizika kwa mazungumzo na Ujumbe wa Baraza la Wazee wa CCM Afisi Kuu Kisiwandui Zanzibar,yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapindsuzi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Uongozi wa Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo la Wazee Bi. Khadija Jabir, baada ya kumaliza kupiga picha ya kumbukumbu na mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-12-2021.(Picha na Ikulu)