Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka leo Jumatano Disemba 01, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Umoja wa Waandishi na Wachapishaji wa Vitabu nchini, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
#ChamaImara
#KaziIendelee