Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 10 na kusogea nafasi ya sita, wakati Mtibwa Sugar inabaki na pointi zake mbili baada ya timu zote kucheza mechi saba na kuendelea kushika mkia.
AZAM FC YAICHAPA 1-0 MTIBWA SUGAR LIGI YA NBC
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2021/12/2405AD23-44D0-4D89-ABBB-F3F278CE9BF1.jpeg)