Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akizungumza na Mkurugenzi Mkaazi USAID Nchini Tanzania Kate Somrongsiri na Ujumbe wake mara walipofika Ofisini kwake na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya .
Mkurugenzi Mkaazi USAID Nchini Tanzania Kate Somrongsiri akimkabidhi zawadi maalum Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui mara walipofika ofisini kwake Mnazimmoja na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya .
Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee , jinsia na Watoto Nassor Ahmed Mazrui akimkabidhi mlango na karafuu ikiwa ni zawadi maalum kutoka kwa Wizara ya Afya mara walipofika Ofisini na kufanya mazungumzo kuhusu miradi mbalimbali ya afya . .
PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANZIBAR.