Mchezaji wa timu ya Bunge ya mpira wa Kikapu na Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi akielekea kufunga wakati wa mazoezi ya mpira wa kikapu ya Bunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanayoendelea leo katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma, Novemba 30, 2021, ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayotegemewa kuanza Disemba 4, 2021 nakumalizika Disemba 18, 2021
Mchezaji wa timu ya Bunge ya mpira wa kikapu, Mhe. Regina Qwaray akijiandaa kutoa mpira kuelekea upande wa timu pinzani wakati wa mazoezi yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma, Novemba 30, 2021, ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayotegemewa kuanza Disemba 4, 2021 nakumalizika Disemba 18, 2021
Mchezaji wa timu ya Bunge ya mpira wa wavu, Mhe. Kunti Kajala akianzisha mpira kuelekea upande wa timu pinzani wakati wa mazoezi yanayoendelea katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma, Novemba 30, 2021, ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayotegemewa kuanza Disemba 4, 2021 nakumalizika Disemba 18, 2021
Wachezaji wa timu ya Bunge ya mpira wa kikapu na wavu wakiendelea na mazoezi katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma, Novemba 30, 2021, ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na mashindano ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki yanayotegemewa kuanza Disemba 4, 2021 nakumalizika Disemba 18, 2021
(PICHA NA OFISI YA BUNGE