Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya , Juma Homela kuhusu ujezi wa vibanda na miundombinu mingine katika eneo jipya la wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kwa jina la Machinga la uwanja wa ndege wa zamani wa Mbeya wakati alipotembelea eneo hilo jijini Mbeya, Novemba 30, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)