Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu Mkoani Mbeya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa madarasa manne shuleni hapo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi, Walimu na wananchi baada ya kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa vyumba vya madarasa manne katika Shule ya Sikondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu mkoani Mbeya.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu Mkoani Mbeya wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa vyumba vya madarasa manne shuleni hapo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa madarsa manne katika Shule ya. Sekondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu Mkoani Mbeya Novemba 27, 2021. Kulia ni Mkewe Mama Mary Majaliwa, Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mbeya Mchungaji Jacob Mwakasole, wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbya, Juma Homela na wa pili kulia ni Mbunge wa Rungwe Mashariki, Anthony Mwkatona.
Muonekano wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kayuki ya Tukuyu Mkoani Mbeya ambapo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa madarasa manne shuleni hapo, Novemba 27, 2021. (Picha na Ofisi ya. Waziri Mkuu)