Kampuni
ya UTT AMIS ikiwa ni mdau mkubwa wa Usalama Barabarani imedhamini
Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa jijini Arusha.
ya UTT AMIS ikiwa ni mdau mkubwa wa Usalama Barabarani imedhamini
Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa jijini Arusha.
Inawakumbusha wawekezaji wake na watanazania wote kwa ujumla kujali usalama wao wawapo barabarani na kujali usalama wa wengine.
Sambamba
na udhamini huo UTT AMIS inashiriki maonyesho yanayoambatana na
maadhimisho hayo katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
UTT
AMIS inawakaribisha wakazi wa Arusha kutembelea banda lao ili kujifunza
juu ya uwekezaji wenye tija kwenye mifuko inayosimamiwa na UTT AMIS. Maadhimisho hayo yameanza rasmi Novemba 23 na yatafikia kilele chake Novemba 28.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika
maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yaliyoanza Novemba 23-28 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.