Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Mhandisi Mashaka Nalupi kuhusu ujenzi wa daraja la mto Mbwemkuru litakalounganisha wilaya za Ruangwa na Liwale mkoani Lindi, Novemba 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)