Mabao ya Man City leo yamefungwa na Raheem Sterling dakika ya 44, Rodri dakika ya 55 na Bernardo Silva dakika ya 86 na kwa ushindi huo wanafikisha pointi 26, wakizidiwa tatu na vinara, Chelsea baada ya wote kucheza mechi 12.
MAN CITY YAICHAPA 3-0 EVERTON LIGI YA ENGLAND
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2021/11/36A20BE5-0C69-48B5-96E2-CC25AA0F9598.jpeg)