Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa kiwanda cha Kuchakata Chai cha Mponde kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya Bumbuli Mkoani Tanga.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akikagua kuzi zinazotumika katika kiwanda cha kuchakata chai cha Mponde wakati wa ziara yake ya kikazi kiwandani hapo.
Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Mhe. Kalisti Lazaro akieleza jitihada za wilaya hiyo katika kuhakikisha kiwanda cha kuchakata chai cha Mponde kinafufuliwa na kuanza kazi wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama.
Mhandisi kutoka PSSSF, Temba Kassim akimuonesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama mitambo ya kuchakata majani ya chai katika kiwanda cha Mponde kilichopo Wilaya ya Bumbuli Jijini Tanga.
Diwani wa Kata ya Mponde Mhe. Richard Mbughuni akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wakazi wa eneo hilo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama alipotembelea kiwanda cha kuchakata chai cha Mponde Tanga.
Baadhi ya wananchi wa eneo la Bumbuli wakimsikiliza waziri Jenista Mhagama wakati wa ziara yake ya kikazi katika kiwanda cha Kuchakata chai cha Mponde.
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Hosea Kashimba akieleza mchango wa mfuko huu katika kukiendeleza kiwanda cha kuchakata chai cha Mbonde.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akiteta na watendaji wa Taasisi zilizochini ya Ofisi yake, wakati wa ziara hiyo.Katikati ni Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Hosea Kashimba (mwenye shati nyeupe), Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Dkt. John Mduma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akioneshwa mabati yaliyohifadhiwa kwa ajili ya ukarabati wa kiwanda cha kuchakata chai cha Mponde Tanga na Mhandisi wa PSSSF Temba Kassim
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)