Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akipokelewa Chato, mkoani Geita kwa heshima ya Chama na Vijana wa Chipukizi akiwa ameambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akivishwa skafu kama ishara ya mapokezi na Vijana wa Umoja wa Vijana shupavu mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita akiwa ameambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo watakuwa na ziara ya siku 2 ya kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2020-2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akipita mbele ya vijana shupavu wa Umoja wa Vijana mara baada ya kupokelewa Chato mkoani Geita akiwa ameambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo watakuwa na ziara ya siku 2 ya kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2020-2021.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Viongozi wa CCM mkoani Geita mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita akiwa ameambatana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambapo watakuwa na ziara ya siku 2 ya kukagua, kuhamasisha na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2020-2021.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kuzuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, Chato mkoani Geita. (Picha na CCM Makao Makuu)