TUNAOMBA KURA YAKO
Mbunge
Neema Lugangira amechaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanasiasa Mwanamke Bora
katika Matumizi ya Mitandao/Kidijitali (Digital Politician of the Year –
Female)
Neema Lugangira amechaguliwa kuwania Tuzo ya Mwanasiasa Mwanamke Bora
katika Matumizi ya Mitandao/Kidijitali (Digital Politician of the Year –
Female)
>Kwa unyenyekevu Mkubwa, tunaomba Kura zenu??
>Tunawaomba tumpigie kura Mhe. Neema Lugangira kwa kufuata maelekezo haya chini ?
1. Tembelea ?
2. Bofya ‘Vote Now’
3. Bofya kitufe cha ‘Cast Your Vote’
4. Ingiza namba yako ya simu au barua pepe
5. Chagua Digital Governance
6. Alafu Chagua kipengele cha Digital Politician of the Year (Female) alafu tafuta jina Neema Lugangira
6. Bonyeza alama ya kujumlisha (+) mara 5 kisha Bonyeza Vote
>TUNAWASHUKURU SANA??