Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisaini kitabu cha kumbukumbu alipowasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021. Kwa ajili ya kuzindua makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC).Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye uzinduzi wa makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua rasmi makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Major General Ibrahim Muhone kuhusu maeneo ya hifadhi ya Chuo hicho mara baada ya kuzindua rasmi makabidhiano ya mradi wa awamu ya pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) baada ya kuzindua rasmi makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi ka Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Taxi baada ya kuzindua rasmi makabidhiano ya Mradi wa Awamu ya Pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kunduchi Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Major General Ibrahim Muhone alipotembelea baadhi ya Ofisi katika Jengo jipya la Chuo cha Taifa cha Ulinzi mara baada ya kuzindua rasmi makabidhiano ya mradi wa awamu ya pili ya ujenzi wa Jengo la Chuo cha Taifa cha Ulinzi Kunduchi, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Novemba, 2021. PICHA NA IKULU.