Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi kwa ajili ya kuifungua madrasa hiyo leo.[Picha na Ikulu] 13/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifungua pazia akiwa mgeni rasmi katika sherehe ya Ufunguzi wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi leo wakiwepo na Mwalimu Mkuu wa madrasa hiyo Sheikh Hemed Suleiman na Mwakilishi wa Jimbo la Mfenesini Mhe.Machano Othman Said (kulia) [Picha na Ikulu] 13/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuifungua Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi leo (kushoto) Mwalimu Mkuu wa madrasa hiyo Sheikh Hemed Suleiman na Mwakilishi wa Jimbo la Mfenesini Mhe.Machano Othman Said (kulia) [Picha na Ikulu] 13/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Muanzilishi wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi Bibi Mariam Omar Mohamed (katikati) mara baada ya kufungua madrasa hiyo leo .[Picha na Ikulu] 13/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi Sheikh Hemed Suleiman (kulia) alipotembelea vyumba mbali mbali mara baada ya kuifungua rasmin leo,akiwepo na Katibu wa Mufti Sheikh Khalid Ali Mfaume (kushoto) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Mwakilishi wa Jimbo la Mfenesini Mhe.Machano Othman Said (wa pili kulia). [Picha na Ikulu] 13/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea Risala ya Ufunguzi wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi kutoka kwa msomaji Suleiman Mohamed Othman wakati hafla ya ufunguzi na sherehe zikiendelea .[Picha na Ikulu]13/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe ya ufunguzi wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi, mbele ya Waalimu,Wazee,waalikwa mbali mbali na Wanafunzi walihuodhuria katika sherehe hiyo leo.[Picha na Ikulu]13/11/2021.
Miongoni mwa Wanafunzi 52 wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi katika viwanja vya madrsa hiyo leo,[Picha na Ikulu]13/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi, Sheikh Hemed Suleiman katika sherehe za ufunguzi uliofanyika leo.[Picha na Ikulu]13/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi Cheti Mwanafunzi Nadya Haroub Nassor akiwa ni miongozi mwa Wanafuzi 52 waliohifadhi vizuri Juzuu 30 za Quran katika madrasa hiyo wakati wa Sherehe ya Ufunguzi wa Madrasatul-Maryam iliyopo Mfenesini Wilaya ya Magharibi “A ” Mkoa Mjini Magharibi alipoifungua leo.[Picha na Ikulu]13/11/2021.