Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya mtandao na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (African Development Bank Group – AfDB) Dkt. Akinwumi A. Adesina leo tarehe 13 Novemba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA MTANDAO NA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA (AFDB)
