Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Afisa Mauzo wa Kampuni ya Bakel, Bw. Deogratius Mlewa wakati alipotembelea Banda la kampuni hiyo leo katika siku ya Tamasha la Mvinyo (Wine festival) linaloendelea katika Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma, Novemba 6, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Meneja wa Jeams Products, Bi. Judith Tarimo wakati alipotembelea Banda la kampuni hiyo leo katika siku ya Tamasha la Mvinyo (Wine festival) linaloendelea katika Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma, Novemba 6, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Afisa utalii Mwandamizi Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Reuben Rwiza wakati alipotembelea Banda la hilo leo katika siku ya Tamasha la Mvinyo (Wine festival) linaloendelea katika Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma, Novemba 6, 2021
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Capital Wine, Bi. Esther Rogati wakati alipotembelea Banda la kampuni hiyo leo katika siku ya Tamasha la Mvinyo (Wine festival) linaloendelea katika Viwanja vya Mashujaa Jijini Dodoma, Novemba 6, 2021