TAMISEMI wang’ara kwenye mashindano ya SHIMIWI yanayodhaminiwa na Agricom Africa Ltd
Afisa
masoko na mauzo wa Agricom Africa Ltd Mr Mathias akiwa na mteja katika
uwanja wa Jamhuri baada ya mteja kuinunua Kwa of a maalumu ya kipindi
hiki cha mashindano ya SHIMIWI.
TAMISEMI wakiwa anafurahia ushindi wa riadha katika mashindano ya SHIMIWI yanayodhaminiwa na Agricom Africa Ltd