Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula alipowasili katika Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Korea na kulakiwa na Balozi wa Korea nchini Mhe. Tae-ick Cho kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi huo jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Tae-woo ROH aliyefariki dunia tarehe 26 Oktoba 2021
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Jamhuri ya Korea jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Tae-woo ROH aliyefariki dunia tarehe 26 Oktoba 2021
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Jamhuri ya Korea jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Tae-woo ROH aliyefariki dunia tarehe 26 Oktoba 2021
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Tae-ick Cho baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi huo jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Tae-woo ROH aliyefariki dunia tarehe 26 Oktoba 2021
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi huo jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Tae-woo ROH aliyefariki dunia tarehe 26 Oktoba 2021
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Tae-ick Cho baada ya mazungumzo na kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi huo jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Tae-woo ROH aliyefariki dunia tarehe 26 Oktoba 2021