Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akifungua Mkutano mkuu wa chama cha Maafisa Uhusino wa Umma Tanzania, PRST unaofanyika kwenye ukumbi wa PPF Tower na kushirikisha maafisa uhusiano wa Umma kutoka mashirika na taasisi mbalimbali nje ya Tanzania, serikalini na zisizo za serikali uofanyika kwa siku mbili jijini Dar es salaam
Mkutano huu unajadili masuala mtambuka ya tasnia hiyo, kuangalia wapi imeteleza na nini kifanyike ili kuboresha mazingira na kutoa kilichobora kwa jamii
Loth Makuzi rais wa Chama cha Maafisa Uhusino wa Umma Tanzania, PRST, akizungumza jijini Dar es Salaam katika Mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika kwenye ukumbi wa PPF tower na kusgirikisha maafisa uhusiano kutoka mashirika na taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za serikali utakaofanyika kwa siki mbili.
Mtoa Mada katika Mkutano huo Bw. Innocent Mungy akiwasilisha mada kwa washiriki.
Bi. Mary Kafyome Mwenyekiti wa kamati ya Maandalizi ya akitoa maelezo ya ratiba ya mkutano huo wakati alipokuwa aukiendelea.
Mwanakamati wa Mkutano huo Bw. Austin Makani akizungumza katika mkutano huo kabla ya kuanza rasmi.
Picha zikionesha baadhi ya washiriki wakiwa katika mkutano huo.
Mgeni Rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa PSRT mara baada ya kufungua mkutano huo.