Meneja wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS), Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Kim Mwemfula akizungumza wakati wa siku ya pili ya Mafunzo ya Watendaji na Wawakilishi wa Chama hicho yanayoendelea mkoani Mbeya kwa lengo la kuboresha utoaji huduma kwa Wananchama. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)
Meneja Msaidizi wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS), Mrakibu wa Polisi SP Peter Msuya akizungumza wakati wa siku ya pili ya Mafunzo ya Watendaji na Wawakilishi wa Chama hicho yanayoendelea mkoani Mbeya kwa lengo la kuboresha utoaji huduma kwa Wananchama. Kushoto kwake ni Afisa uhusiano SP Richard Busimba (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)
Mhasibu wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS), Mrakibu wa Polisi SP Emmanuel Katabi akiwasilisha mada wakati wa siku ya pili ya Mafunzo ya Watendaji na Wawakilishi wa Chama hicho yanayoendelea mkoani Mbeya kwa lengo la kuboresha utoaji huduma kwa Wananchama. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)
Afisa mtendaji Mkuu wa Taasisi ya mafunzo ya AFLUENCE, Dkt. Staphord Kwanama akitoa Mafunzo kwa Watendaji na Wawakilishi wa chama cha kuweka na kukopa cha Polisi (URA SACCOS) yanayoendelea jijini Mbeya kwa lengo la kuboresha utoaji huduma kwa Wananchama. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)
Baadhi ya Watendaji na Wawakilishi wa Chama cha kuweka na kukopa cha Jeshi la Polisi (URA SACCOS) wakifuatilia mada mbalimbali katika Mafunzo yanayoendelea jijini Mbeya kwa lengo la kuboresha utoaji huduma kwa Wananchama wa Chama hicho. (Picha na A/INSP Frank Lukwaro wa Jeshi la Polisi)