Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kushoto kwa Naibu Waziri, ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, o yleo. Kushoto kwa Naibu Waziri, ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa, Edson Guyai akiwasilisha taarifa za NIDA katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, na katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mussa Azzan Zungu akizungumza katika Kikao cha Kamati hiyo, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.