Home Michezo SIMBA YAITISHA MKUTANO KUFANYIKA NOVEMBA 21 JIJINI DAR ES SALAAM

SIMBA YAITISHA MKUTANO KUFANYIKA NOVEMBA 21 JIJINI DAR ES SALAAM

0
KLABU ya Simba imeitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka utakaofanyika Novemba 21, mwaka huu ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.