KLABU ya Simba imeitisha Mkutano Mkuu wa Mwaka utakaofanyika Novemba 21, mwaka huu ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam.