Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwansheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Eliezer Feleshi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Eliezer Feleshi, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba16, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)