Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021. Kwa ajili ya kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita 32.2. 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
(PICHA NA IKULU / JOHN BUKUKU)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita 32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita 32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Ujenzi Mhe. Makame Mbarawa pamoja na baadhi ya watendaji Wakuu wa Wizara hiyo mara baada ya kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita 32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro mara baada ya kuzindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita 32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisikiliza maelezo ya mradi huo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara Tanzania TANROADS Eng. Rogatus Mativila alipozindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita 32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo akisalimiana na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa katikati, Mh.Suleiman Kakoso Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu na Mh. Ayeshi mjumbe wa kamati hiyo na Mbunge wa jimbo la Sumbawanga mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisikiliza taarifa ya mradi huo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara Tanzania TANROADS Eng. Rogatus Mativila alipozindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita 32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara Tanzania TANROADS Eng. Rogatus Mativila na Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kilimanjaro Eng. Motta Kyando wakiwa katika hafla hiyo ambapo Rais Samia Suluhu Hassan alizindua rasmi Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita 32.2 katika eneo la Sanya Juu Wilayani Siha Mkoani Kilimanjaro
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi)Mhandisi Joseph Malongo akijailiana jambo na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara Tanzania TANROADS Eng. Rogatus Mativila kushoto na Mh.Suleiman Kakoso Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya kudumu ya Miundombinu katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Sanya Juu wilayani Hai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Afya ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa katika Eneo la Mawezi Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Rau linalojengwa katika Eneo la Rau Halmashauri ya Moshi Mjini Mkoani leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.