0Afisa Elimu Taaluma Mkoa wa Singida Eva Mosha kwa
niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa Dk. Dorothy Mwaluko akizungumza katika
maadhimisho hayo, ambapo pamoja na mambo mengine, alipongeza hatua ya shirika
hilo ya kuandaa mashindano mbalimbali kwa wanafunzi, ikiwemo ya uandishi wa Insha
na barua ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisaidia kupanua fikra na kutoa
mwanga katika kuchagiza ongezeko la ufaulu.
Kaimu Meneja wa Posta Singida Mary Kimaro
akielezea namna shirika hilo lilivyofanya maboresho makubwa ya huduma zake
mbalimbali za kidijitali, ikiwemo huduma mpya ya ‘Posta Kiganjani’ ambayo hutoa
fursa kwa mteja kumiliki na kupata taarifa zote za sanduku lako la barua
kupitia simu yako ya mkononi, sambamba na huduma ya ‘Duka Mtandao’ ambayo hutoa
fursa kwa wafanyabishara, wajasiriamali na wabunifu mbalimbali kuuza na
kutangaza bidhaa, ubunifu na mengine mengi kupitia huduma hiyo ya kidijitali
popote pale ndani na nje ya nchi.
01.
Mmoja Waataalamu wa Afya akitoa elimu juu ya
Ugonjwa wa Uvico 19 kwenye sherehe za kilele cha maadhimisho ya Siku ya Posta
mkoani Singida jana, sambamba na kuhamasisha wananchi kujitokeza na kupata
chanjo ya ugonjwa huo ambayo ni salama katika kujilinda dhidi ya athari za
ugonjwa huo.
01.
Afisa wa Posta Singida Hadija Hamis akigawa
vipeperushi vya elimu kwa umma kuhusiana na huduma mbalimbali za kidijitali
zinazoendelea kutolewa ndani ya shirika hilo wakati wa sherehe za maadhimisho
hayo jana
01.
Afisa wa Posta Singida Nuru Malela akigawa vipeperushi
vya elimu kwa umma kuhusiana na huduma mbalimbali za kidijitali zinazoendelea
kutolewa ndani ya shirika hilo wakati wa sherehe za maadhimisho hayo jana
01.
Afisa wa Posta Singida Erick Kiowi akigawa
vipeperushi vya elimu kwa umma kuhusiana na huduma mbalimbali za kidijitali
zinazoendelea kutolewa ndani ya shirika hilo wakati wa sherehe za maadhimisho
hayo jana.
01.
Afisa wa Posta Rehema Nchimbi akishiriki
kikamilifu kwenye tukio hilo
01.
Mwonekano wa zawadi mbalimbali zilizoandaliwa na
shirika hilo kwa ajili ya washindi
Wafanyakazi wa Posta wakijiandaa kutoa zawadi kwa washindi.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Singitu, Masumbuko Makoye akipokea vifaa mbalimbali vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Covid 19 vilivyotolewa na Shirika la Posta Singida kama mwendelezo wa kuunga mkono juhudi mbalimbali zinazotolewa na serikali katika kukabiliana na ugonjwa huo.
01.
Mmoja wa wanafunzi akipokea zawadi
Mmoja wa wanafunzi akipokea zawadi kutoka Shirika la Posta Singida
01.
Shamrashamra zikiendelea
01.
Shamrashamra zikiendelea
01.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Posta
Singida wakiwa kwenye picha ya pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria tukio
hilo
01.
Baadhi ya wanafunzi walioshiriki shindano la
Shirika la Posta na kuibuka washindi wa shindano hilo kutoka Shule ya Sekondari
Singitu iliyopo Kata ya Mtinko, Tarafa ya Mtinko, Wilaya ya Singida mkoani hapa
wakiwa kwenye picha ya pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria tukio hilo
pamoja na zawadi zao.
01.
Baadhi ya wanafunzi wengine wa shule hiyo
wakifuatilia maadhimisho hayo
Shamrashamra zikiendelea
01.
Diwani wa Kata ya Mtinko Singida, eneo ilipo
shule hiyo, Bilal Yusuph akizungumza kwenye maadhimisho hayo. Hata hivyo Diwani
huyo aliomba Shirika la Posta kuangalia uwezekano wa kujenga darasa moja ndani
ya shule hiyo litakalopewa jina la ‘Posta’ ili kusaidia kutatua changamoto ya
miundombinu ya elimu ambayo ni kikwazo katika ustawi wa taaluma shuleni hapo.