Home Mchanganyiko NAIBU WAZIRI HUSSEIN BASHE ATEMBELEA KIWANDA CHA KUSINDIKA PAMBA CHA NGS IVESTIMENT...

NAIBU WAZIRI HUSSEIN BASHE ATEMBELEA KIWANDA CHA KUSINDIKA PAMBA CHA NGS IVESTIMENT MKOANI KATAVI

0

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akimsikiliza mwekezaji Silanga Njalu wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi aalipotembelea na kukagua kiwanda cha kusindika Pamba cha NGS Investment mkoani Katavi na kujionea shughuli mbalimbali zinazoedelea katika kiwanda hicho.

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza jambo na mwekezaji Silanga Njalu wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi alipotembelea na kukagua kiwanda cha kusindika Pamba cha NGS Investment mkoani Katavi na kujionea shughuli mbalimbali zinazoedelea katika kiwanda hicho 

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akiongozana na  mwekezaji Silanga Njalu wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi alipotembelea na kukagua kiwanda cha kusindika Pamba cha NGS Investment mkoani Katavi na kujionea shughuli mbalimbali zinazoedelea katika kiwanda hicho.

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza  wakati  alipotembelea na kukagua kiwanda cha kusindika Pamba cha NGS Investment mkoani Katavi na kujionea shughuli mbalimbali zinazoedelea katika kiwanda hicho cha kuchambua Pamba 

Mwekezaji wa kiwanda cha kusindika Pamba kilichopo Tanganyika  mkoani Katavi Bw.Silanga Njalu akimwelezea jambo Naibu Waziri Hussein Bashe hayupo pichani wakati walipotembelea kiwandani hapo.

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akiongozana na  mwekezaji Silanga Njalu wakati  alipotembelea na kukagua kiwanda cha kusindika Pamba cha NGS Investment mkoani Katavi na kujionea shughuli mbalimbali zinazoedelea katika kiwanda hicho.

Mwekezaji wa kiwanda cha kusindika Pamba kilichopo Tanganyika  mkoani Katavi Bw.Silanga Njalu akimwelezea jambo Naibu Waziri Hussein Bashe hayupo pichani wakati walipotembelea kiwandani hapo.

Muonekano wa Mitambo ya Kusindika Pamba ya kiwanda cha  NGS Investment mkoani Katavi.

Picha mbalimbali zikionesha Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akiongozana na  mwekezaji Silanga Njalu wakati  alipotembelea na kukagua kiwanda cha kusindika Pamba cha NGS Investment mkoani Katavi na kujionea shughuli mbalimbali zinazoedelea katika kiwanda hicho.