Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akizungumza wakati wa kikao maalum cha Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa leo jijini Dodoma. Kikao hicho kilikuwa maalum kwa ajili ya kujadili maaendeleo ya maandalizi ya mkutano wa wadau wa siasa na Ofisi ya Msajili utakaofanyika tarehe 21 Oktoba 2021. Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, Bibi. Christine Mndeme na Mwenyekiti wa Barazala hilo Bw. Juma Khatibu(katika).
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, Bw. Juma Khatibu akiongoza kikao maalum cha Kamati ya Uongozi ya baraza hilo leo jijini Dodoma.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Ndg. Sisty Nyahoza ambaye pia NDIYE kKatibu wa Sekretarieti ya Baraza la Vyama vya Siasa akiwasilisha akitoa muuongozo wakati wa wakati wa kikao maalum cha kamati ya uongozi leo jijini Dodoma. Kikao hicho kilikuwa maalum kwa ajili ya kujadili maaendeleo ya maandalizi ya mkutano wa wadau wa siasa na Ofisi ya Msajili utakaofanyika tarehe 21 Oktoba 2021.
Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa, John Momose Cheyo akichangia mada wakati wa kikao maalum cha kamati ya uongozi leo jijini Dodoma. Kikao hicho kilikuwa maalum kwa ajili ya kujadili maaendeleo ya maandalizi ya mkutano wa wadau wa siasa na Ofisi ya Msajili utakaofanyika tarehe 21 Oktoba 2021.
Mjumbe wa Kamati ya Uongozi ya Baraza la Vyama vya Siasa, Ndg. Abdallah Mabodi (katikati) akichangia mada wakati wa kikao maalum cha kamati ya uongozi leo jijini Dodoma. Kikao hicho kilikuwa maalum kwa ajili ya kujadili maaendeleo ya maandalizi ya mkutano wa wadau wa siasa na Ofisi ya Msajili utakaofanyika tarehe 21 Oktoba 2021.
Baadhi ya wajumbe na Kamati ya Uongozi wa Baraza la Vyama vya Siasa pamoja na Sekretarieti ya Baraza hilo wakifuatilia mada wakati wa kikao maalum cha Kamati ya Uongozi leo jijini Dodoma. Kikao hicho kilikuwa maalum kwa ajili ya kujadili maaendeleo ya maandalizi ya mkutano wa wadau wa siasa na Ofisi ya Msajili utakaofanyika tarehe 21 Oktoba 2021. (Na Mpiga Picha Wetu)