*******************
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe.William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.Taarifa zaidi tutawajuza wasomaji wetu kuhusu chanzo Cha kifo Cha Mhe Ole Nasha.
Ole Nasha alishawahi kuwa kudumu katika Wizara mbalimbali ikiwemo Wizara ya Elimu ambapo baadae alihamishiwa katika Wizara ya Uwekezaji kama Naibu Waziri mara baada ya Wizara hiyo kuanzishwa.