Mkurugenzi msaidizi idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kemilembe Mutasa akitoa utambulisho katika warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu Jijini Dodoma. Mhariri Mkuu wa Fullshangwe Blog Bw.Alex Sonna akifuatilia Semina ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu Jijini Dodoma. Wadau mbalimbali wa Mazingira wakifuatilia semina ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu Jijini Dodoma.
Waandishi wa habari na wadau mbalimbali wa Mazingira pamoja na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais, wakifuatilia Warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu Jijini Dodoma.
Afisa Mazingira Mwandamizi- Tume ya Madini Mhandisi Abel Madaha akiwasilisha mada kuhusu Taratibu na Masuala ya Kuzingatia katika Uchimbaji mdogo wa dhahabu katika warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu Jijini Dodoma.
Warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu ikiendelea katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Biashara CBE Jijini Dodoma.Mwandishi wa Mlimani Tv Bw.Ibrahimu Chawe (Kulia) akimsikiliza mwasilishaji wa mada katika Warsha ya uelimishaji kwa waandishi wa habari kuhusu mkataba wa minamata na mpango-kazi wa kupunguza matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu Jijini Dodoma.
(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)