Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Somalia Nchini Mhe. Zahra Ali Hassan, Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 27,2021. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Somalia Nchini Mhe. Zahra Ali Hassan, muda mfupi baada ya Balozi Zahra kukabidhi Hati ya Utambulisho Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 27,2021. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufaransa Nchini Mhe. Nabil Hajlaoui, Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 27,2021. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Ufaranza Nchini Mhe. Nabil Hajlaoui, muda mfupi baada ya Balozi Nabil kukabidhi Hati ya Utambulisho Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 27,2021. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula.