|
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa, Mwenyekiti wa Bodi ya NMB – Dk. Edwin Mhede (kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kulia) wakishiriki katika mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, wengine ni viongozi mbalimbali wa Serikali na taasisi za umma na binafsi. |
|
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna wakishiriki katika mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni viongoni mbalimbali wakishiriki mbio hizo. |
|
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna wakishiriki katika mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo. Wengine walioshiriki mbio hizo ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na viongozi mbalimbali ya Serikali na taasisi za umma na binafsi. |
|
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (kulia) akimshukuru Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini Dk. Anna Makakala (wa kwanza kushoto) kwa kufika kushiriki mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo. |
|
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna wakijiandaa kukimbia mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo. Wengine walioshiriki mbio hizo ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na viongozi mbalimbali ya Serikali na taasisi za umma na binafsi. |
|
Wananchi mbalimbali wakishiriki katika mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo. |
|
Baadhi ya watoto na wazazi wao wakishiriki katika mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo. |
|
Washiriki wa mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo wakianza mbio zao kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam. |
|
Baadhi ya wakishiriki waliomaliza kukimbia mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo wakipokea medali zao. |
|
Baadhi ya wakishiriki waliomaliza kukimbia mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo wakipokea medali zao. |
|
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna akizungumza katika hafla ya mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo. |
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa Majaliwa (katikati), Mwenyekiti wa Bodi ya NMB – Dk. Edwin Mhede (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla (kushoto) wakishiriki mazoezi ya viungo mara baada ya kumaliza mbio za hisani za ‘NMB Marathon’ kwa ajili ya kukusanya kiasi cha fedha zitakazo tumika katika matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, kwenye viwanja ya Leaders jijini Dar es Salaam leo.