Home Mchanganyiko MAJALIWA AWASALIMIA WANANCHI WA HIMO, MOSHI VIJIJINI

MAJALIWA AWASALIMIA WANANCHI WA HIMO, MOSHI VIJIJINI

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Himo wilayani Moshi Vijijini ambao walijitokeza kwa wingi barabarani na kumfanya alazimike kusimama na kuwasalimia Septemba 23, 2021. Alikuwa akienda Kiraracha nyumba kwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustine Mrema kutoa pole kwa kifo cha Mke wa Mwanasiasa huo, Rose Mrema aliyefariki dunia, Septemba 16, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)