Waziri Mkuu,, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Moshi, Septemba 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Sephen Kagaigai (kulia kwake) kukagua ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Moshi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa miradi huo Mjini Moshi, Septemba 23, 2021. Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Laibu na wa pili kulia ni Mbunge wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa (kushoto) akifurahia baada ya Waziri Mkuu kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Moshi akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro, Septemba 23, 2021. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai, kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi na wa pili kushoto ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Laibu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)