Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiongozwa na Mganga Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Dkt. Bandioh Gavyole (kulia) kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa hospitali ya wilaya ya Bukoba akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kagera, Septemba 21, 2021. Wa tatu Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na wa nne kushoto ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Dkt. Bandioh Gavyole.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu