Home Mchanganyiko WAFANYAKAZI BENKI YA EXIM WAFANYA USAFI UFUKWE WA HOSPITALI YA OCEAN ROAD

WAFANYAKAZI BENKI YA EXIM WAFANYA USAFI UFUKWE WA HOSPITALI YA OCEAN ROAD

0

Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Kitengo cha mikopo wa benki hiyo Bi Zainab Nungu (katikati) wakishiriki zoezi la usafi kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi jirani na Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani.

Kazi na Dawa! Wafanyakazi wa Benki ya Exim wakiwa kwenye picha ya pamoja na Diwani wa Kata ya Kivukoni Sharik Coughe  (wanne kushoto) wakati zoezi la usafi likiendelea