Home Mchanganyiko MAJALIWA AKERWA NA MARUMARU ZILIZOWEKWA KWENYE WODI YA WAZAZI KATIKA HOSPITALI YA...

MAJALIWA AKERWA NA MARUMARU ZILIZOWEKWA KWENYE WODI YA WAZAZI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KARAGWE

0

Marumaru zisizo na  viwango vinavyokubalika serikalini ambazo zimewekwa kwenye  sakafu ya Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya wilaya ya Karagwe. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amegiza ziondolewe na badala yake ziwekwe marumaru zenye ubora unaokidhi viwango vya Serikali. Mheshimawa Majaliwa alitoa maagizo hayo wakati alipokagua ujenzi wa hospitali hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kagera, Septemba 19, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)