Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberates Sabas akiongea na waandishi wa habari wa Mkoa wa Mwannza baada ya kumalizika ufunguzi wa kikao kilichofanyika katika ukumbi wa BOT Jijini Mwanza kinachohusu mikakati ya kupambana na Uhalifu ndani ya Ziwa Victoria.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberates Sabas katika kulia kwake ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza SACP Ramadhani Ng’anzi na kushoto kwake ni kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi ambaye ni mkuu wa Operesheni maalum za Jeshi la Polisi SACP Mihayo Kagolo Msikhela wakisikiliza na kuandika maoni ya wadau wa uvuvi Kanda ya Ziwa (hawapo Pichani) baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa kikao kilichofanyika katika ukumbi wa BOT jijini Mwanza kinachohusu mikakati ya kupambana na Uhalifu ndani ya Ziwa Victoria.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nchini CP Liberates Sabas katika kulia kwake ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza SACP Ramadhani Ng’anzi na kushoto kwake ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi ambaye ni Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi SACP Mihayo Kagolo Msikhela wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Uvuvi Kanda ya Ziwa baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa BOT Jijini Mwanza kinachohusu mikakati ya kupambana na Uhalifu ndani ya Ziwa Victoria.
(Picha na Jeshi la Polisi)