Home Mchanganyiko MAJALIWA AKAGUA MRADI WA UMEME WA RUSUMO

MAJALIWA AKAGUA MRADI WA UMEME WA RUSUMO

0

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa  akipata maelezo kutoka kwa  Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato  (wa pili kushoto) kuhusu handaki la kuchepusha maji   wakati alipotembelea Mradi wa Umeme wa Rusumo wilayani Ngara , Septemba 19, 2021. Mradi huo  utakaozalisha umeme kwa  kutumia maji unagharimiwa na nchi za Tanzania, Burundi na Rwanda.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo  kutoka kwa Naibu Waziri wa Nishati, Stephen  Byabato (kushoto)  kuhusu ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Rusumo wilayani Ngara, Septemba 19, 2021. Wa  tatu kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa. Mradi huo  utakaozalisha umeme kwa  kutumia maji unagharimiwa na nchi za Tanzania, Burundi na Rwanda.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo  kutoka kwa Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato (kushoto) kuhusu ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Rusumo wilayani Ngara, Septemba 19, 2021. Mradi huo  utakaozalisha umeme kwa  kutumia maji unagharimiwa na nchi za Tanzania, Burundi na Rwanda( (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)