Kamishna wa Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii CP, Dkt Mussa Ali Mussa akishiriki kucheza ngoma ya jadi ya Sungusungu wa Jamii ya Kisukuma wa Kata ya Mondo, Tarafa ya Mondo, Wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga alipokwenda kufanya mkutano wa hadhara katika kuhamasisha jamii kushiriki katika kutunza amani ya nchi. Wilaya ya Kishapu ni neneo ambalo lilikua linaongoza kwa mauaji ya vikongwe kati ya miaka ya 2015 kushuka nchi. Mauaji ua vikongwe katika wilaya hiyo yamekwisha kutokana na ushirikiano baina ya Jeshi la Polisi pamoja na Sungusungu wa Wilaya ya Kishapu.
Kamishna wa Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii CP, Dkt Mussa Ali Mussa akiwa katika picha ya pamoja na Sungusungu wa Jamii ya Kisukuma wa Kata ya Mondo, Tarafa ya Mondo, Wilayani Kishapu Mkoa wa Shinyanga alipokwenda kufanya mkutano wa hadhara katika kuhamasisha jamii kushiriki katika kutunza amani ya nchi. Wilaya ya Kishapu ni neneo ambalo lilikua linaongoza kwa mauaji ya vikongwe kati ya miaka ya 2015 kushuka nchi. Mauaji ua vikongwe katika wilaya hiyo yamekwisha kutokana na ushirikiano baina ya Jeshi la Polisi pamoja na Sungusungu wa Wilaya ya Kishapu.
Chifu katika Kamisheni ya Ushirikishwaji wa Jamii, Kamishna Msaidizi Mwandamizi SACP Engelbert Kiondo akiwa na Sungusungu wa Jamii ya Kisukuma wa Kata ya Mondo, Wilaya ya Kishapu Mkoani Shinyanga.