Home Siasa CHONGOLO AANZA ZIARA MKOANI MTWARA LEO

CHONGOLO AANZA ZIARA MKOANI MTWARA LEO

0

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wameanza ziara mkoani Mtwara yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 – 2025.

Naibu Katibu Mkuu CCM bara Ndugu Christine Mdeme akipoungia. Mkono wananchi wakati wajumbe hao wa Sekretarieti ya CCM taifa walipowasili mkoani Mtwara leo.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka akiwasalimia wananchi wakati wajumbe wa Sekretarieti ya CCM taifa walipowasili mkoani Mtwara.

Naibu Katibu Mkuu CCM bara Ndugu Christine Mdeme akiwasalimia wananchi wakati wajumbe hao wa Sekretarieti ya CCM taifa walipowasili mkoani Mtwara leo.