Spika wa Bunge, Job Ndugai akikata utepe akizindua muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021, wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Mhe. Fatma Taufiq (kulia)
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa kupambana na Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo kabla ya kuzindua muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa kupambana na Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo katika hafla ya uzinduzi wa muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiteta jambo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel kabla ya kuzindua muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai (wapili kushoto waliokaa) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa kupambana na Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo baada ya kuzindua muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Mhe. Fatma Taufiq akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Wabunge vinara wa kupambana na Kifua kikuu pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo katika hafla ya uzinduzi wa muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021
Spika wa Bunge, Job Ndugai akiongozana na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel baada ya kuzindua muungano wa wadau kupambana na kifua kikuu Tanzania uliofanyika leo katika viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, Septemba 12, 2021, kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Kifua kikuu, Mhe. Fatma Taufiq na Katibu wa Wabunge vinara wa kupambana na kifua kikuu, Mhe. Kunti Majala.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)