Home Mchanganyiko MAJALIWA AKIJIBU MASWALI YA WABUNGE

MAJALIWA AKIJIBU MASWALI YA WABUNGE

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu swali Bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza  swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko (kushoto) , Bungeni jijini Dodoma, Septemba 9, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mbunge wa Mlalo, Rashidi Shangazi akimuuliza swali Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Bungeni jiini Dodoma, Septemba 9, 2021. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum, Mwantumu Zodo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)