Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Bomang`ombe Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro leo Sept 05,2021 alipokua njiani akielekea Marangu kwa ajili kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.