Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la korosho la Bw. Jumanne Kilegele lililopo Kagungu wilayani Tanganyika, Agosti 26, 2021. Yupokatika ziara ya kikazi mkoani Katavi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetangaza vipaumbele saba itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2026/27 kwa lengo la kujenga jamii…
Na. Meleka Kulwa, Fullshangwe Blog, Bungeni Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imeendelea kuimarisha uwezeshaji wa wafanyabiashara…